Wakaazi Waiomba Serikali Msaada Wa Chakula

  • 2 years ago
Miezi Mitano Baada Ya Kushuhudia Hali Tete Ya Usalama Ambayoilisambaratisha Maisha Wa Wakaazi Wa Eneo La Ol Moran Kaunti Ya Laikipia Kutokana Na Mashambulizi Ya Wezi Wa Mifugo,Hali Ya Kawaida Imeanza Kurejea Katika Eneo Hilo.Hata Hivyo Wakaazi Wanakodolewa Macho Na Zimwi La Njaa,Baada Ya Mimea Yao Kuharibiwa Wakati Wa Mashambulizi.

Recommended