Serikali Yaombwa Kukamilisha Mradi Wa Chakula Wa Galana Kulalu

  • 3 years ago
Kamati Ya Bunge Kuhusu Mazingira Na Rasili Mali Imeitaka Wizara Ya Fedha Kutoa Mgao Wa Fedha Uliotengewa Mradi Wa Uzalishaji Chakula Wa Galana Kulalu Ili Mradi Huo Ukamilishwe Mara Moja. Mwenyekiti Wa Kamati Hiyo Japhet Kareke Mbiuki Anasema Mradi Huo Utakapokamilika Utawasadia Wakaazi Ambao Wengi Wao Kwa Sasa Wanakumbwa Na Baa La Njaa Kutokana Na Ukame.

Recommended