Baraza Asema Serikali Kuu Lina Jukumu La Kuweka Mpango Wa Kumaliza Madeni Ya Kaunti
  • last year
Gavana Wa Kaunti Ya Kakamega Fernandez Baraza Ambaye Pia Ni Mwenyekiti Wa Kamati Ya Fedha Katika Baraza La Magavana Amesema Kwamba Ni Jukumu La Serikali Kuu Kupitia Wizara Ya Fedha Kuhakisha Kwamba Hakuna Bakshishi Ya Pesa Za Mgao Wa Fedha Za Kaunti, Hili Kusuluhisha Tatizo La Madeni Ya Kaunti, Baraza Aliya Sema Haya Siku Moja Baada Ya Rais William Ruto Kutia Saini Bajeti Ya Ziada Ya Matumizi Na Serikali Ya Kitaifa. Hata Hivyo Baraza Amesisitiza Kwamba Wataendelea Kupiga Msasa Madeni Ya Kaunti Zote Ili Kutathmini Ambayo Yanastahili Kulipiwa.