Wakaazi Walalamikia Madai Ufujaji Wa Fedha Katika Serikali Ya Vihiga
  • 3 years ago
Huenda Kaunti Ya Vihiga Ikavunjiliwa Mbali Iwapo Wakaazi Watatia Sahihi Yakutoridhishwa Na Jinsi Kaunti Hiyo Inavyoendeshwa. Mapema Leo Wakaazi Wa Vihiga Wakiongozwa Na Joseph Simekha Pamoja Na Ominde Francis Wamezindua Zoezi Lakukusanya Sahihi Zaidi Ya Elfu 30, Zitakazo Wezesha Mchakato Wa Kuivunja Serikali Ya Kaunti Hiyo Kwa Madai Ya Ufisadi.
Recommended