Wakaazi Katika Msitu Wa Boni Wanakumbwa Na Baa La Njaa
  • 3 years ago
Wakaazi Wanaoishi Katika Msitu Wa Boni Katika Kaunti Ya Lamu Wanakumbwa Na Janga La Baa La Njaa Na Uhaba Wa Maji Kutokana Na Ukame Unaoshuhudiwa Eneo Hilo. Wakaazi Sasa Wanahofia Maisha Yao Hasa Wanapotafuta Maji Kwani Wanasema Wanapata Upinzani Mkubwa Kutoka Kwa Wanyama Hatari Wanapotafuta Maji. Kuna Bwawa Moja Tu Katika Eneo Hilo Na Lina Maji Machafu Ambayo Yanasababisha Magonjwa Ya Tumbo Kwa Wakaazi.
Recommended