Wizara Ya Afya Sasa Yasema Kuwa Watazipa Kaunti Za Wafugaji Kipau Mbele Katika Usambazaji Wa Chanjo
  • 3 years ago
Wizara Ya Afya Sasa Yasema Kuwa Watazipa Kaunti Za Wafugaji Kipau Mbele Katika Usambazaji Wa Chanjo Ya Aina Ya Johnson And Johnson. Mwenyekiti Wa Jopokazi La Kusimamia Chanjo Nchini, Dkt Willis Akhwale, Anasema Kuwa Kaunti Za Wafugaji Kama Vile Turkana, Garissa Lamu Na Nyenginezo Zimekumbwa Na Changamoto Kubwa Katika Utoaji Wa Chanjo Na Hivyo Basi Chanjo Ya Johnson And Johnson Itasaidia Pakubwa Ikizingatiwa Kwamba Ni Chanjo Ya Awamu Moja Pekee. Alizungumza Alipopokea Shehena Ya Pili Ya Chanjo Za Johnson And Johnson Katika Uwanja Wa Ndege Wa Jkia.
Recommended