Shule Za Kibinafsi Zalalama Kuwa Matokeo Ya KCPE Yaliwabagua Watahiniwa Wa Shule Zao
  • 3 years ago
Walimu Kutoka Shule Za Kibinafsi Katika Kaunti Ya Kirinyaga Wanalalamika Kuwa Matokeo Ya Mtihani Wa Kcpe Yaliwabagua Watahiniwa Kutoka Shule Za Kibinafsi. Wakiongozwa Na David Kariithi, Walimu Hao Wameishtumu Wizara Ya Elimu Wakisema Mbinu Waliyotumia Kusawazisha Matokeo Iliwapendelea Zaidi Wanafunzi Wa Shule Za Umma Huku Wakisisitiza Kuwa Wanafunzi Wote Wana Haki Ya Kupata Matokeo Halisia.
Recommended