Viongozi Wa AU Wamesihi Serikali Za Nchi Hizo Kutatua Hali Hiyo.

  • 2 years ago
Viongozi Wa Muungano Wa Au Sasa Wameibua Hofu Kuhusiana Na Ukosefu Wa Usalama Huko Sudan Na Ethiopia. Viongozi Hao Wakiongozwa Na Kinara Wa Odm Raila Amolo Odinga Wameitaka Serikali Ya Sudan Na Ethiopia Kutatua Mzozo Baina Yao Na Wakaazi Wa Nchi Hizo.

Recommended