Wakaazi Wa Muranga Wakosa Kujitokeza Kutwaa Kadi Za Huduma
  • 3 years ago
Ikiwa U Mkaazi Wa Murang'a Na Ulijisajili Kupata Kadi Ya Huduma Namba, Serikali Inakutaka Ujiwasilishe Katika Afisi Za Kamishna Wa Kaunti Na Kuchukua Kadi Yako.Kamishna Wa Kaunti Hiyo Muhammed Barre Anasema Kuwa Ni Kadi 5000 Zilizotwaaliwa Kati Ya 56,000 Zilizoundwa Kufikia Sasa. Ametoa Wito Kwa Wakaazi Kuchukua Kadi Zao Kwani Wakati Utafika Ambapo Kadi Hiyo Itakuwa Kama Kitambulisho.
Recommended