Maelfu Ya Wakaazi Embu Wanahitaji Msaada Wa Haraka Wa Chakula Na Maji
  • 3 years ago
Huku Janga La Ukame Likizidi Kuwaathirii Wakenya Wengi Humu Nchini, Wakaazi Kutoka Wadi Ya Kiambere, Kaunti Ya Embu Wanaitaka Serikali Kuingilia Kati Na Kuwapa Msaada Wa Chakula Na Maji Kwani Mazao Yao Yaote Yaliharibika Kutokana Na Ukosefu Wa Mvua. Wakati Uo Huo Wanaitaka Serikali Kuu Na Ile Ya Kaunti Kuweka Mikakati Ya Kuzuia Hali Kama Hii Katika Miaka Ya Usoni Wakisema Kuwa Hawawezi Kuendelea Kutegemea Mvua Ambayo Siku Hizi Inakuja Kidogo Au Inakosekana Kutokana Na Mabadiliko Ya Hali Ya Anga.
Recommended