Wakazi Wa Kilifi Wasihi Serikali Na Wafadhili Kuwaletea Chakula Cha Msaada

  • 3 years ago
Baadhi Ya Wakazi Katika Kaunti Ya Kilifi Wanasihi Serikali Na Wafadhili Waingilie Kati Na Kupeleka Chakula Cha Msaada Na Maji Kwa Wale Walioathirika Na Janga La Ukame. Janga Hilo Limeacha Mamilioni Ya Wakenya Katika Baa La Njaa Na Kuangamiza Mamia Ya Mifugo. Na Kama Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anavyotuarifu, Hali Inazidi Kudorora Kila Uchao.

Recommended