Mkasa Wa Moto Kisumu | Duka Moja La Kuuza Bidhaa Za Kielektroniki Lateketea

  • 4 years ago
Mmiliki wa duka moja la kuuza bidhaa za kielektroniki kaunti ya Kisumu, anakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya moto kuzuka na kuteketeza bidhaa hizo. Ni hali ambayo imewatia hamaki wakaazi huku wakiwanyoshea kidole cha lawama shirika la magari ya kuzima moto kwa kuchelewa kufika kwenye mkasa licha ya kuwa karibu na duka hilo. Daniel Ndembede kutoka kisumu na taarifa hiyo.

Recommended