Hatma Ya Makamishna Wanne Wa IEBC
  • last year
Walalamishi Wanne Waliowasilisha Hoja Ya Kuwabandua Makamishna Wanne Wa Iebc Wamefika Mbele Ya Kamati Ya Bunge Kuhusu Haki Na Sheria (Jlac) Kutetea Pendekezo Lao.Walalamishi Hao Hata Hivyo Wameitaka Kamati Hii Kubuni Jopo Ambalo Litachunguza Makamishna Wanne Wa Wa Iebc Julian Cherera,Francis Wanderi,Justus Nyang'aya Na Irene Masit Kwa Kile Wanachodai Kuwa Walishirikiana Na Muungano Wa Azimio-Oka Kukanadamizi Haki Ya Wapiga Kura Na Kuenda Kinyume Cha Kipee 30 Cha Sheria Ya Iebc Ya 2011.
Recommended