Usaili Wa Wagombea Wa Iebc Waingia Siku Ya 9
  • 3 years ago
Mgombea Wa 24 Kuwania Nafasi Ya Ukamishna Katika Tume Ya Iebc Amefika Mbele Ya Jopo La Usaili Asubuhi Ya Leo Kueleza Ni Kwa Nini Anapaswa Kupewa Nafasi Ya Kuhudumu. Professa Michael Lokuruka Amepewa Mtihani Wa Kueleza Ni Mninu Zipi Atakazotumia Kuhakikisha Kuwa Uchaguzi Wa 2022 Utakua Wa Huru Na Haki. Hili Hapa Jibu Lake
Recommended