Serikalu Kuu Kuongezea Muda Wa Siku 30 Wa Kwa Amri Ya Afya
  • 3 years ago
Kwa Mara Nyingine Wakenya Wamejpata Katika Njia Panda Baada Ya Serikalu Kuu Kuongezea Kipindi Cha Kafyu Kwa Muda Wa Mwaka Mmoja Zaidi. Kulingana Na Waziri Mutahi Kagwe Ongezeko Hilo Ni La Kuhakikisha Kuwa Wakenya Wengi Zaidi Wamechanjwa.
Recommended