Mshukiwa Wa Mauaji Azuiliwa, Masden Wanjala Atazuiliwa Kwa Muda Wa Siku 14
  • 3 years ago
Mshukiwa Wa Mauaji, Masden Wanjala Aliyekiri Kuwaua Takriban Watoto 10 Amezuiliwa Kwa Muda Wa Siku 14 Ili Kuwawezesha Maafisa Wa Upelelezi Kukamilisha Ucnhunguzi. Hakimu Mkuu Wa Mahakama Ya Makadara Ameagiza Mshukiwa Kuzuiliwa Katika Kituo Cha Polisi Cha Shauri Moyo Hadi Ucnhunguzi Ukamilike. Na Kama Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anavyotuarifu, Masden Amekiri Mauaji Ya Watoto Kutoka Kaunti Za Machakos, Kakamega, Mlolongo, Kitengela Na Nairobi.
Recommended