Tamasha Zakueneza Tamaduni Za Lamu Zinaendelea
  • last year
Tamasha Za Kitamaduni Za Kila Mwaka Kaunti Ya Lamu Zinaendelea, Zikiwa Ni Tamaduni Za 20 Tangu Kuanzishwa Kwa Tamsha Hizo. Wageni Wa Humu Nchini Na Watalii Kutoka Mataifa Ya Nje Wamefika Eneo La Lamu Ili Kishuhudia Tamaduni Za Kiswahili Ambazo Zimeandaliwa Na Seriklai Ya Kaunit Hiyo.
Recommended