Wakaazi Wa Eneo La Nyalenda Kaunti Ya Kisumu Wafaidika
  • 2 years ago
Matumizi Ya Mtandao Kila Siku Ndio Imesalia Hali Halisi Ya Maisha Ya Binadamu Katika Karne Hii Ya Sasa Ambayo Kila Mtu Amezamia Mitandaoni Pasi Na Kubaguliwa Kwa Umri Wote Wakubwa Kwa Wadogo.Ila Sio Wote Wanaopata Fursa Yakuwa Na Mtandao Majumbani Mwao Au Hata Kwenye Simu Zao Haswa Walala Hoi Wanaoishi Katika Mitaa Ya Mabanda.
Recommended