Kindiki: Uhalifu Umepungua Kwa 13.5% Chini Ya Siku 100

  • last year
Katika Juhudi Za Kukabilian Na Ujambazi Nchini, Serikali Imeweka Mikakati Ya Kufuata Mienedo Ya Majambazi Kwa Kutumia Vitengo Spesheli Vya Maafisa Wa Usalama. Waziri Wa Usalama Na Utwala Wa Kitaifa Profesa Kithure Kindiki, Amesema Kuserikali Itatumia Teknolojia Katika Kuendeleza Vita Dhidi Ya Ujambazi Na Kutafuta Usalama Wa Kudumu.

Recommended