Wakenya Waombwa Kujiepusha Na Hatari Ya Covid-19 Na Ya Barabaran
  • 2 years ago
Sherehe Za Krisimasi Zinaendelea Kote Nchini Huku Mwiro Wa Usalama Barabarani Ukiendelea Kutolewa. Huko Magharibi Mwa Kenya, Naibu Gavana Kaunti Ya Kakamega Philip Kutima Ameswasihi Wananchi Kuendelea Kujiepusha Na Maambukizi Ya Covid-19 Kwani Hatari Ya Corona Imeongezeka Kwa Kiasi Kikubwa.
Recommended