Haji: Vita Dhidi Ya Ufisadi Vyaanza Na Wakenya
  • 2 years ago
Washikadau Wa Kupambana Na Ufisadi Wanasema Kuwa Taifa Haliwezi Kujinasua Kutoka Katika Minyororo Ya Ufisadi Ikiwa Wakenya Wataendelea Na Hulka Ya Kuchagua Viongozi Wafisadi. Mkurugenzi Wa Mashtaka Ya Umma Noordin Haji Anasema Kuwa Vita Dhidi Ya Ufisadi Vinapaswa Kuanza Na Kila Mkenya. Hafla Hiyo Imeandaliwa Kaunti Ya Mombasa.
Recommended