EACC Yazindua Tathmini Ya Kubaini Hatari Ya Ufisadi Kaunti Ya Siaya

  • last year
Tume Ya Maadili Na Kupambana Na Ufisadi EACC Imeanzisha Tathmini Ya Kubaini Hatari Ya Ufisadi Kwa Serikali Ya Kaunti Ya Siaya. Akizungumza Wakati Wa Uzinduzi Wa Zoezi Hilo, Kamishna Wa EACC, Dk. Cecilia Mutuku Amesema Tathmini Hio Haitapitisha Upelelezi Unaoendelea Kuhusu Ubadhirifu Wa Kifedha Ndani Ya Taasisi Hiyo.

Recommended