Mwanamke Mmoja Kaunti Ya Kakamega Anadai Haki Yake Baada Ya Kunajisiwa Na Wanaume Wawili Walijitambulisha Kama Polisi

  • 2 years ago
Mwanamke Mmoja Katika Eneo La Ikolomani Kaunti Ya Kakamega, Anadai Haki Yake, Hii Ni Baada Ya Wanaume Wawili Waliojitambulisha Kama Polisi Kuingia Nyumbani Kwake Kumfurusha Na Baadaye Kaumnajisi. Mwanamke Huyo Ambaye Ana Umri Wa Miaka 22 Sasa Ni Mjamzito Wa Miezi Tisa Na Anasema Kuwa Wanaume Hao Walimwamuru Aondoke Nyumbani Kwake Baada Ya Kumtafuta Mume Wake, Ambaye Hakuwepo Nyumbani Wakati Tendo La Kutisha Lilipotokea.

Recommended