Mwili Wa Mwanaume Mmoja Aliyeuawa Kakamega Kapatikana

  • 3 years ago
Mwili Wa Mwanaume Mmoja Wa Miaka Ishirini Na Sita Ambaye Alikuwa Dereva Wa Taxi Eneo La Kakamega Umepatikana Kwenye Shamba La Miwa Eneo La Nandi Ambapo Ulikuwa Umetupwa. Inasemekana Kuwa Mwanaume Huyo Alitekwa Nyara Na Watu Ambao Walijifanya Wateja Na Baadaye Mwili Wake Kupatikana. Madereva Wa Taxi Kakamega Sasa Wanahofia Maisha Yao Baada Ya Kifo Cha Mmoja Wao Na Sasa Wanataka Maofisa Wa Polisi Waanzishe Uchunguzi Utakaobaini Nini Haswa Kilimuua Mwenzao.

Recommended