Mwili Wa Afisa Polisi Umepatikana Nje Ya Kituo Cha Polisi Cha Kimende

  • 2 years ago
Mwili Wa Afisa Polisi Umepatikana Nje Ya Kituo Cha Polisi Cha Kimende Kaunti Ya Kiambu. Maafisa Wa Polisi Wameanzisha Uchunguzi Ili Kubainisha Chanzo Cha Kifo Cha Polisi Huyo. Kutokana Na Mujibu Wa Wakaazi Wa Eneo Hilo Wanaeleza Kuwa Alikuwa Akijiburudisha Katika Baa Moja Katika Eneo Hilo Na Wanataka Uchunguzi Kufanyika.

Recommended