Seneta Sakaja Apuuzilia Mbali Mpango Wa Jubilee Na ODM Kutoa Mgombea Mmoja

  • 3 years ago
Seneta Wa Kaunti Ya Nairobi Johnson Sakaja Amepuuzilia Mbali Mpango Wa Chama Cha Jubilee Na Kile Na Chama Odm Kufanya Mazungumzo Ili Kuwasilisha Mgombea Mmoja Katika Nafasi Ya Ugavana Na Seneti Kaunti Ya Nairobi.Jubilee Wanataka ODM Kutowasilisha Mgombea Wa Ugavana Na Useneta Iwapo Wataunga Mkono Raila Odinga Mkono Katika Azima Yake Ya Urais.Sakaja Ambaye Ametangaza Azima Ya Kuwania Ugavana Nairobi Amesema Hawatakubali Kiongozi Wa Kuidhinishwa Kwa Wananchi Kwani Mwananchi Wa Kawaida Ndiye Mwenye Haki Ya Kuchagua Kiongozi Anayemfaa.

Recommended