Kaunti Ya Baringo Imeshuhudia Idadi Kubwa Ya Visa Vya Covid-19

  • 3 years ago
Maafisa Wa Afya Kaunti Ya Baringo Wameibua Hofu Yao Kuhusu Ongezeko La Visa Vya Covid-19 Eneo Hilo Ambalo Limesababisha Vifo Vya Watu Wanne Na Wengine 42 Kuathiriwa Katika Wiki Iliyopita . Kuongezeka Kwa Idadi Ya Maambukizi Ya Covid-19 Kumeilazimisha Idara Ya Afya Kutekeleza Hatua Za Haraka Ili Kukabiliana Na Mkasa Huo Mojawapo Ikiwa Kupunguza Idadi Ya Watu Katika Hospitali Ya Rufaa Ya Kaunti Ya Baringo Ambayo Tayari Imejaa.

Recommended