Naibu Gavana Wa Kaunti Ya Kericho Susan Kikwai Aaga Dunia
  • 3 years ago
Rais Uhuru Kenyatta Ameongoza Taifa Kumuomboleza Naibu Wa Gavana Wa Kericho Susan Kikwai. Kwa Mujibu Wa Gavana Wa Kaunti Ya Kericho Profesa Paul Chepkwony Kikwai Aliaga Dunia Kutokana Na Maambukizi Ya Virusi Vya Corona Katika Hospitali Ya Siloam Alipokuwa Akipokea Matibabu Kama Anavyoarifu Mwanahabari Abdiaziz Hashim
Recommended