Gavana Wa Garissa Asema Hoja Ya Kumbandua Spika Ni Siasa Potofu
  • 3 years ago
Gavana Wa Garissa Ali Korane Sasa Anasema Kuwa Hoja Ya Kumbandua Spika Wa Bunge Lake Kutoka Afisini Ni Mmojawapo Ya Njama Za Kisiasa Za Kuhujumu Utendakazi Wake. Akizungumza Baada Ya Swala Ya Eid Mjini Garissa, Gavana Huyo Anasema Kuwa Atafanya Juu Chini Kuona Kuwa Hoja Hiyo Ya Kumbandua Spika Abass. Jumatano Wawakilisho Wodi 36 Walitia Sahihi Hoja Ya Kumbandua Spika Ibrahim Abass Wakimshtumu Kwa Kukiuka Katiba.
Recommended