SRC Kutoza Ushuru Marupurupu Wa Wafanyikazi Wa Serikali

  • 3 years ago
Wafanyikazi Wa Umma Huenda Wakawa Na Wakati Mgumu Zaidi Katika Siku Za Usoni Kufuatia Shoka La Hivi Karibuni Kutoka Kwa Tume Ya SRC.Hii Ni Baada Ya Tume Hiyo Ya Kuratibu Mishahara Hapa Nchini Kutibua Kuwa Itaanza Kuwatoza Ushuru Marupurupu Yao Kuanzia Mwezi Novemba.Na Kama Anavyoarifu Milliah Kisienya Haya Yanajiri Huku Wafanyikazi Hao Tayari Wakikabiliana Na Pengo La Kutoongezwa Mshahara Kwa Muda Wa Miaka Miwili Kutokana Na Makali Ya Virusi Vya Corona

Recommended