Viongozi Vijana Wanataka Vyama Viwakilishe Matakwa Yao

  • 3 years ago
Baadha Ya Viongozi Vijana Kutoka Mkoa Wa Mlima Kenya Wanataka Vyama Vya Kisiasa Viwakilishe Matakwa Ya Vijana Katika Manifesto Zao. Wamelalama Ya Kuwa Matakwa Yao Yametupwa Katika Kaburi La Sahau Licha Ya Kuwa Asilimia Yao Katika Jamii Ni Zaidi Ya 50. Mratibu Wa Kikundi Cha Vijana, Maina Kamunya Amesema Wakati Umefika Wa Vijana Kuungana Na Kusimamisha Viongozi Wao Wenyewe Katika Uchaguzi Mkuu Mwaka Ujao.

Recommended