Viongozi Wa Maeneo Kame Waunda Vuguvugu Jipya- Upya Movement
  • 3 years ago
Viongozi Kutoka Kaskazini Mashariki Na Maeneo Kame Wametangaza Vuguvugu Jipya Kwa Jina Upya Movement La Kupigania Maslahi Ya Kisiasa Ya Maeneo Hayo. Wakiongozwa Na Waziri Wa Fedha Ukur Yatani Na Mbunge Wa Eldas Adan Keynan, Viongozi Hao Wamesema Vuguvugu Hilo Litaunganisha Eneo Hilo Kwa Sauti Moja Ya Kisiasa Haswa Katika Uchaguzi Ujao Wa Mwaka 2022. Winnie Lubembe Na Taarifa Zaidi.
Recommended