Baadhi Ya Viongozi Wa ODM Magharibi Wahamia ANC
  • 2 years ago
Chama Cha ANC Kaunti Ya Kakamega Kinazidi Kuimarisha Umaarufu Wake Hii Ni Baada Ya Baadhi Ya Wanachama Kutoka Eneo Bunge La Lurambi Kukigura Chama Cha ODM Na Kujiunga Na Chama Hicho. Kulingana Na Mwenyekiti Wa Chama Cha Anc Eneo Bunge La Lurambi Rajab Musa Wameweka Mikakati Ya Kuhakikisha Kuwa Eneo La Magharibi Linasimama Na Chama Hicho Kwani Mizizi Yake Ni Ya Huku. Kwa Upande Wake Ruth Ombayo Ambaye Ni Kiongozi Wa Wanawake Katika Chama Cha ANC Kaunti Ya Kakamega Akizungumza Baada Ya Kuwakaribisha Wafuasi Wapya Katika Chama Hicho Amasema Lengo Lao Ni Kuwatafuta Wafuasi Wengi Zaidi Ambao Watamhakikishia Kinara Wa Anc Musalia Mudavadi Ushindi Kwenye Uchaguzi Mkuu Ujao.
Recommended