Baadhi Ya Wakaazi Ruiru Walalamikia Upungufu Wa Chanjo
  • 3 years ago
Kulizuka Kioja Cha Vuta Ni Kuvute Katika Hospitali Moja Kata Ndogo Ya Ruiru Baada Ya Wakaazi Waliojitokeza Kupokea Chanjo Kulalamika Dhidi Ya Upungufu Wa Chanjo Zilizokuwa Zinatolewa.Wakaazi Hao Wanadai Kuwa Kulikuwa Na Njama Fiche Iliotibuliwa Na Maafisa Wa Afya Waliokuwa Wanatoa Chanjo Hiyo Kwani Ni Watu 16 Tu Waliopokea Kati Ya 120 Waliofika. Na Kwengineko Eneo La Riruta Satelite Wakenya Wameendelea Kujitokeza Kwa Wingi Kupokea Chanjo Huku Wengine Wakilazimika Pia Kutoka Vituo Vingine Kutokana Na Uhaba Wa Chanjo.
Recommended