Wizara Ya Ugatuzi Kuwasaidia Wasiojiweza

  • 4 years ago
Waziri Wa Ugatuzi Eugene Wamalwa Ameziomba Kaunti Kujitahidi Kadri Ya Uwezo Wake Kuhakikisha Zinaafikia Malengo Ya Vitanda 300 Vya Wagonjwa Wa Virusi Vya Corona. Akizungumza Alasiri Ya Leo Wamalwa Ametaja Kuwa Taifa Kwa Sasa Limetawalwa Na Makali Ya Virusi Vya Corona Na Kumuathiri Mwananchi Wa Kawaida Hasa Maeneo Ya Mashinani.Wamalwa Amesema Hayo Baada Ya Kuweka Saini Mkataba Wa Maelewano Kati Ya Wizara Yake, Chama Cha Wafanyabiashara Na Wenye Viwanda Nchini Na Shirika Lisilo La Kiserikali La Health International Kufanikisha Huduma Hitajika Katika Kaunti Wakati Huu Wa Janga La Virusi Vya Corona.

Recommended