Wizara Ya Jinsia Yataja Kuwepo Kwa Fedha Za Dharura Kwa Vijana

  • 3 years ago
Wizara Ya Jinsia Imetaja Kuwepo Kwa Mikakati Kabambe Na Hata Fedha Za Dharura Zakuangazia Vijana Wakati Wa Majanga Hapa Nchini Kama Janga La Virusi Vya Corona.Waziri Magret Kobia Ametaja Kuwa Janga La Corona Limeanika Vikwazo Vinavyowaandama Vijana Hasa Waliobaleghe Ikikumbukwa Kwamba Mwaka Jana Wasichana Wengi Walipata Mimba Wakiwa Likizo Ndefu Kufuatia Kufungwa Kwa Shule Kutokana Na Mkurupuko Wa Janga La Corona

Recommended