Udhia Wazidi Kutokota Bungeni Baina Ya JUBILEE Na ODM

  • 4 years ago
Udhia Unaotokota Bungeni Baina Ya Wabunge Wa Chama Cha Jubilee Na Odm Wanaounga Mkono Mchakato Wa Bbi Umeibuka Tena Bungeni Katika Kikao Maalum Cha Kuidhinisha Majina Ya Watakaojaza Nafasi Katika Kamati Mbali Mbali Za Bunge Zilizoachwa Wazi Baada Ya Wendani Wa Naibu Rais William Ruto Kubanduliwa. Udhia Huo Uliotishia Kuhujumu Mchakato Wa Bbi, Umepelekea Chama Cha Kanu Kujizolea Viti Zaidi Katika Kamati Hizo Za Bunge.

Recommended