Mahakama Ya Upeo Yatupilia Mbali Ombi La Sonko Kuwa Kananu Asiapishwe

  • 3 years ago
Mahakama Ya Upeo Imefutilia Mbali Ombi La Aliyekuwa Gavana Wa Nairobi Mike Sonko, La Kumtaka Anne Kananu Kutoapishwa Kama Gavana Wa Jiji La Nairobi. Hili Limejiri Uamuzi Wa Jaji Wa Upeo Mohammed Ibrahim Kuwa Mipango Ya Kuapishwa Kwa Kananu Isitishwe Kwa Siku 14 Ili Kuruhusu Mike Sonko Kuthibitisha Sababu Zake.

Recommended