Mashirika Yasiyokuwa Ya Kiserikali Yatishia Kuelekea Mahakani Kupinga IEBC
  • 3 years ago
Mashirika Mbalimbali Yasiyokuwa Ya Kiserikali Ikiwemo Elog Yanasema Sasa Yataelekea Mahakamani Kupinga Maamuzi Wa Tumu Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Kufutilia Sheria Ya Kudhibiti Kiasi Cha Fedha Wanasiasa Wanafaa Kutumia Katika Kampeni.Mashirika Haya Yanasema Kuwa Hili Litawapa Litawapa Usemi Mkubwa Wanasiasa Walio Na Hela Huku Likiwaacha Hoi Wale Ambao Wanasera.