Wakaazi Walioathirika Na Mashambulizi Ya Laikipia Wataka Wafidiwe
  • 3 years ago
Wakaazi Walioathirika Na Mashambulizi Ya Laikipia Sasa Wamejitokeza Na Kuitaka Serikali Kuwafidia Kutokana Na Hasara Waliopata Kutokana Na Mashambulizi Hayo.Na Zaidi Wameisuta Serikali Kwa Kufeli Kuangazia Utata Wa Mashamba Haya Miaka Nenda Miaka Rudi .
Recommended