Jamii Ya Ogiek Yataka Mwanamke Ateuliwe Kama Seneta

  • 3 years ago
Jamii Ya Ogiek Imeiomba Chama Cha Jubilee Kuteua Seneta Mteule Kutoka Kwa Jamii Yao. Wamemuunga Mkono Roselyn Presoi Ateuliwe Kwenye Kiti Hicho. Jamii Hiyo Imesema Kuwa Imesahaulika Kwenye Uongozi Na Kuteuliwa Kwa Presoi Kama Seneta Kuliwapa Umaarufu.