Watu Saba Watiwa Mbaroni Kwa Kutoa Chanjo Ya Covid-19 Bila Idhini

  • 3 years ago
Watu Saba Wametiwa Mbaroni Kwa Kosa La Kutoa Chanjo Ya Covid-19 Bila Idhini. Katibu Katika Wizara Ya Afya Susan Mochache Ameyasema Haya Alipopokea Shehena Ya Dozi 358,200 Zaidi Za Chanjo Ya Astrazeneca Kutoka Serikali Ya Canada.

Recommended