Mataifa Yalioendelea Yalaumiwa Kwa Kupata Chanjo Ya Tatu

  • 3 years ago
Shirika La Afya Duniani Kwa Mara Nyingine Limeyafokea Mataifa Yaliyoendelea Kwa Kuwa Na Tamaa Ya Kujiwekea Chanjo Huku Nchi Nyingi Zikikosa Chanjo Hiyo Ya Corona. Mkurugenzi Wa Shirika La Afya Duniani Tedros Ghebreyesus Amesema Kuwa Si Vyema Nchi Hizo Hazipaswi Kupata Chanjo Ya Tatu Ilhali Mataifa Maskini Yamekosa Chanjo Hiyo. Haya Yanajiri Huku Kirusi Cha Corona Aina Ya Delta Kikiendelea Kusambaa Kwa Kasi Zaidi Kama Anavyotueleza Winnie Lubembe.

Recommended