Walimu Na Wanafunzi Waandamana Kutokana Na Ukesefu Wa Usalama Chesegon

  • 3 years ago
Walimu Na Wanafunzi Kutoka Shule 12 Katika Mpaka Kati Ya Marakwet Na Pokot Wameandamana Kutokana Na Ongezeko La Ukosefu Wa Usalama Hususan Baada Ya Wanaume Watatu Waliokuwa Wamebebwa Na Bodaboda Kuuawa. Wameandamana Katika Barabara Ya Chesegon Kwa Zaidi Ya Kilometa 10 Na Kudai Hawatarudi Shuleni Hadi Pale Watakapohakikishiwa Usalama Wao Na Serikali.

Recommended