Magoha Alaumu Walimu Kwa Kutowahimiza Wanafunzi Kuchagua Vyuo
  • 3 years ago
Zaidi Ya Wanafunzi 6,000 Waliofanya Mtihani Wa Kcse Mwaka Wa 2020 Na Kupata Nafasi Katika Vyuo Vikuu Wamechagua Kujiunga Na Taasisi Za Kiufundi. Waziri Wa Elimu Prof. George Magoha Anasema Huenda Ni Kwa Sababu Walimu Katika Zaidi Ya Asilimia 50 Ya Shule Za Upili Hawawahimizi Wanafunzi Kuchagua Vyuo Vikuu Kabla Ya Kukalia Mtihani Wa Kuhitimu Masomo Ya Shule Za Upili. Lucy Riley Na Taarifa Hiyo.