Pwani Yajikokota Na Usajili Wa Wanafunzi Wa Sekondari
  • 3 years ago
Ni Kaunti 10 Pekee Ambazo Zimefikia Asilimia 100 Ya Wanafunzi Wanaojiunga Na Kidato Cha Kwanza. Kaunti Ya Nairobi Iko Katika Asilimia 76 Ya Watahiniwa Wa Darasa La Nane Waliojiunga Na Shule Za Upili Huku Eneo La Pwani Likijikokota Na Asilimia 63 …
Recommended