Rais Uhuru Na Raila Wakutana Na Wabunge Kujadili Umwafaka Wa 2022
  • 2 years ago
Rais Uhuru Kenyatta Pamoja Na Kiongozi Wa Upinzani Raila Odinga Wamesifia Wabunge Wa Handisheki Kupitisha Mswada Wa Vyama Vya Kisiasa Wakisema Iwapo Utaidhinishwa Kama Sheria Itaboresha Mfumo Wa Uongozi.Rais Kwenye Hafla Na Wabunge Na Maseneta Katika Ikulu Aidha Alimsuta Naibu Wake William Ruto Na Wandani Wake Kwa Kupinga Mswada Huo Jinsi Walivyopinga Mchakato Wa Marekebisho Wa Katiba Bbi.Na Kama Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anavyoripoti,Wandani Wa Kinara Wa Chama Cha Anc Musalia Mudavadi Walisusia Hafla Hiyo Kando Na Wale Wa Ruto Huku Duru Zikiarufu Kuwepo Kwa Wawili Hao Kufanyia Kazi Pamoja.
Recommended