AMETOWEKA!! Kiongozi Wa Wanafunzi Hajulikani Alipo

  • 6 years ago
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Nchini TSNP, Abdul Nondo ametoweka pasipo kujulikana alipo tangu jana majira ya saa tisa usiku. Taarifa rasmi kutoka kwa Viongozi wenzake wa Mtandao huo imethibitisha kutoweka kwa kiongozi wao huku Mzazi wake nae akiweka bayana kutojua alipo kwa kijana wake.

Recommended