Wanasiasa Watofautiana Kuhusu Kutawazwa Kwa Muturi

  • 3 years ago
Siasa Za Kutawazwa Nchini Zimekita Mizizi Ambapo Wengi Wa Wanasiasa Wanafanya Kila Jambo Kupewa Kijiti Kuongoza Jamii.Kutawazwa Kwa Spika Wa Bunge La Kitaifa Justine Muturi Kama Msemaji Wa Jamii Ya Mlima Kenya Ni Dhihirisho Tosha Kwamba Itachukua Miaka Kumaliza Donda Sugu La Ukabila Ambalo Rais Uhuru Kenyatta Na Kinara Wa Odm Raila Odinga Wameahidi Kulimaliza Kupitia Mchakato Wa Maridhiano Na Kujenga Madaraja Bbi .Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anakupa Undani Wa Taarifa Hiyo Kuhusu Siasa Za Urithi.

Recommended