Korti Kutoa Uamuzi Alhamisi Kuhusu Marekebisho Ya Katiba
  • 3 years ago
Spika Wa Bunge La Kitaifa Justin Muturi Na Mwenzake Wa Seneti Kenneth Lusaka Wanasubiri Uamuzi Wa Mahakama Kuhusu Mchakato Wa Maridhiano Na Kujenga Madaraja Nchini Bbi Baada Ya Kuzuia Rais Kutia Saini Mswada Wa Marekebisho Ya Katiba. Tayari Mabunge Yote Mawili Yamepitisha Mswada Huo Ambao Hatma Yake Inasalia Mikononi Mwa Rais. Hata Hivyo Hatua Hii Haitatekelezwa Hadi Pale Mbivu Na Mbichi Itajulikana Siku Ya Alhamisi Wakati Korti Itakapotoa Uamuzi. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili//
Recommended